Jeremiah 15:7


7 aNitawapepeta kwa uma wa kupepetea
kwenye malango ya miji katika nchi.
Nitaleta msiba na maangamizi juu ya watu wangu,
kwa maana hawajabadili njia zao.
Copyright information for SwhKC